Skip to content

All podcasts

Innocent Morris

Innocent Morris · 130 episodes

Kujifunza Neno la Mungu, Kukua Kiroho, Uhusiano na Roho Mtakatifu, Maombi

Recent from Innocent Morris

MAOMBI YA KUVUNJA MINYORORO YA TABIA MBAYA - Innocent Morris

48m

Je, unajikuta ukirudia tabia ambazo hutaki kuzifanya? Je, umechoka kupambana na dhambi na mazoea yanayokurudisha nyuma kiroho? Katika maombi haya tutaomba pamoja, tukimwomba Mungu atupe ngu

ROHO MTAKATIFU NI NANI? Part 3 - Innocent Morris

Ep. 3 · 49m

Katika sehemu ya tatu ya somo hili utajifunza kuhusu utambulisho wa Roho Mtakatifu na umuhimu wa kumjua kwa usahihi.Kwa maana kumjua Roho Mtakatifu ni hatua ya muhimu sana katika kujenga u

ROHO MTAKATIFU NI NANI? Part 2 - Innocent Morris

Ep. 2 · 22m

Katika sehemu ya pili ya somo hili utajifunza kuhusu utambulisho wa Roho Mtakatifu na umuhimu wa kumjua kwa usahihi.Kwa maana kumjua Roho Mtakatifu ni hatua ya muhimu sana katika kujenga u

ROHO MTAKATIFU NI NANI? Part 1 - Innocent Morris

Ep. 1 · 1h 9m

Katika sehemu ya kwanza ya somo hili utajifunza kuhusu utambulisho wa Roho Mtakatifu na umuhimu wa kumjua kwa usahihi.Kwa maana kumjua Roho Mtakatifu ni hatua ya muhimu sana katika kujenga

JINSI YA KUCHOCHEA MOTO WA MAOMBI Part 3 - Innocent Morris

Ep. 3 · 1h 6m

Send us Fan Mail Je, unahisi maisha yako ya maombi yamepoa? Je, unatamani kurudi kwenye ule uwepo na nguvu uliokuwa nayo mwan

Listen to Innocent Morris

Follow Innocent Morris and thousands of other podcasts in Glanced.

Get Started

Try free for 14 days. No credit card required.