Skip to content

All podcasts

Watushule Swahili Podcast

Waafrika wanaofikiria. · 10 episodes

Podikasti ya Watushule Tunafikiri, basi tunakuwa. Watushule ni podikasti kwa watu wanaotaka kuishi maisha yenye mwelekeo na uelewa mzuri. Kila kipindi kinazungumzia mambo muhimu yanayoathiri maisha yetu — kama kusudi, nidhamu, utambulisho, kazi, na hali halisi ya maisha ya Mwafrika katika dunia ya leo. Hii si motisha. Hii ni fikra. Kama unahisi kuna zaidi katika maisha kuliko yale uliyozoea au kuambiwa… basi hii ni sehemu sahihi kwako. www.watushule.com

Recent from Watushule Swahili Podcast

Kuwa na watu wengi wa karibu haimaanishi wengi watakuwa na umuhimu kwako.

Ep. 10 · 8m

Kanuni ya ufanisi wa Pareto inasema asilimia themanini ya matunda inatokana na asilimia ishirini ya mbegu au juhudi. Hii ni kwenye kazi, biashara, mahusiano au afya yako. This is a publ

Pesa inazaa pesa. Na pesa inayozaa pesa huzaa pesa zaidi.

Ep. 9 · 17m

Pesa, ujuzi na mahusiano vinahitaji kukua. Na namna bora zaidi ya ukuaji ni kwa mfumo wa riba juu ya riba kwa pesa, ujuzi juu ya ujuzi na mahusiano juu ya mahusiano. Hili ni wazo la compounding kwe

Watu wengi kufanya jambo fulani haimaanishi hilo jambo ni sahihi.

16m

Watu wengi tunafanya maamuzi binafsi kwa kufuata mkumbo wa watu. Tunaogopa kufanya maamuzi yetu au tunakubali kufanya maamuzi ya familia na jamii kwa kuogopa kuoishana nao.Madhara ya

Usitafute mafanikio. Tafuta njia za kutokufeli

Ep. 7 · 18m

Kuna vitu vingi sana vinahitajika kutokea kwenye maisha kuketa mafanikio. Na vitu hivi havipo kwenye uwezo wetu muda mwingi. Lakini kuna vitu vingi sana ambavyo vinafelisha watu, hivi vitu ni rahis

Malengo yanakusaidia kuanza. Mifumo inakusaidia kumaliza.

31m

Wengi wanaishi na ndoto ambazo hazina malengo. Wenye malengo hawana sababu yenye nguvu zaidi kuwafanya wavumilie mambo yakiwa magumu. Wenye sababu hawana mfumo mzuri wa kutimiza malengo hayo

Listen to Watushule Swahili Podcast

Follow Watushule Swahili Podcast and thousands of other podcasts in Glanced.

Get Started

Try free for 14 days. No credit card required.